February 8, 2016




Mshambuliaji kinda wa Manchester City, Raheem Sterling amehamia katika jumba lake jipya ambalo thamani yake ni pauni milioni 3.5.

Jumba hilo la kisasa zaidi liko jirani kabisa na anapoishi gwiji wa Manchester United, Kocha Alex Ferguson.

Winga huyo aliyejiunga na City akitokea Liverpool katika uhamisho uliokuwa gumzo kubwa, jumba lake lina vyumba sita vya kulala, bwawa la kuogelea la futi 30 upana lililo ndani ya nyumba, chumba cha sinema, sehemu tatu za kuegesha magari pamoja na uwanja wa mpira wa kikapu.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic