Leicester City imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuitwanga Norwich City kwa bao 1-0.
Kikosi cha Leicester kitalazimika kutoa shukurani kwa mkongwe Leonardo Ulloa aliyefunga bao pekee katika dakika ya 89.
Mkongwe huyo aliingia katika kipindi cha pili na mwisho akageuka kuwa shujaa kwa kuipa Leicester pointi hizo tatu muhimu katika Ligi Kuu England.
0 COMMENTS:
Post a Comment