Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm alikuwa kati wadau waliojitokeza kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo wakati Mbeya City ikipambana na JKT Ruvu.
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara, City walishinda kwa mabao 2-1 lakini Pluijm aliyekuwa ameongozana meneja wake, Hafidhi Saleh.
Kocha huyo Mholanzi alikuwa akihifadhi mambo kadhaa kwenye simu akionyesha kuchukua mambo muhimu.
0 COMMENTS:
Post a Comment