ZUNGU, NKAMIA, WABUNGE WENGINE WAJUMUIKA NA WACHEZAJI, MAKOCHA SIMBA WAKIWA NJIANI KWENDA SHINYANGA Simba imesimama kwa muda mjini Dodoma na kuzungumza na baadhi ya wabunge wakiwemo Azzan Zungu, Juma Nkamia na wengine wenye mapenzi na kikosi cha Mnyama. Simba ilisimama kwa muda ikiwa njiani kwenda mjini Shinyanga tayari kuwavaa Kagera Sugar.
0 COMMENTS:
Post a Comment