March 17, 2016

WACHEZAJI WA APR WAKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NIYERERE (JNIA) JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Kikosi kamili cha APR kimetua jijini Dar es Salaam, tayari kwa mechi yao ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Yanga keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Licha ya APR kupoteza mechi yao ya kwanza kwa kufungwa mabao 2-1 na Yanga nyumbani kwao Kigali, leo walionekana ni watulivu na wanaojiamini.



APR wanahitaji ushindi wa mabao 2-0 ili waweze kusonga mbele. Jambo ambalo Yanga hata kidogo hawapaswi kulibeza.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic