March 17, 2016Yanga itacheza bila beki wake wa kulia, Juma Abdul katika mechi yake dhidi ya APR katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika keshokutwa Jumamosi.

Juma Abdul ana kadi mbili za njano na tayari Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limeitaarifu Yanga kukumbuka hilo.

Beki huyo ndiye aliyefunga bao la kwanza wakati Yanga ikiitwanga APR kwa mabao 2-1 kwao Kigali.

Lakini katika mechi hiyo, akapigwa kadi ya njano na kufanya saa akose mchezo huo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV