March 17, 2016


Kikosi kamili cha Liverpool chini ya kocha wao, Jurgen Kloop kimetua jijini Manchester kwa ajili ya mechi yao ya leo usiku dhidi ya Manchester United.

Ni mechi ya pili ya Kombe la Europa na Manchester United ikiwa ugenini katika mechi ya kwanza ikapoteza kwa maabo 2-0.

Tayari Kocha Louis van Gaal na vijana wake wameingia kambini hotelini kujiandaa na mechi hiyo ambayo hakuna longolongo zaidi ya kushinda.DAILY MAIL

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV