March 27, 2016


Wachezaji kadhaa wa Ureno wamemtetea Cristiano Ronaldo licha ya kukosa mkwaju wa penalti wakati Ureno ilipofungwa na Bulgaria kwa boa 1-0 ikiwa nyumbani.

Kipa wa Bulgaria Vladislav Stoyanov aliokoa mkwaju wa Ronaldo lakini wachezaji kama Nani, Pepe na Bruno Alves wamesisitiza Ronaldo alikosa wakati akiipigania timu take ya taiga, hivyo si ishu sana.

Kukosa kwake penalti kumekuwa gumzo kubwa, wengi wakidai aliiangusha timu take ya taifa yeye akiwa nahodha.

Ureno iko katika maandalizi ya mwisho kujiandaa kuivaa timu ngumu ya Ubelgiji katika mechi ya kirafiki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV