April 10, 2016


Kitu cha kwanza tunachopaswa kukubali ni kwamba Azam FC wana kazi ngumu kwa kuwa Esperance ya Tunisia ni wazoefu wa michuano mikubwa ya Afrika.

Lakini tukubali hakuna kinachoshindikana kabisa hasa kama watu watajipanga na kufanya kazi yao vema.

Azam FC inawakaribisha Esoerance katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na Azam FC wanaonekana wamejiandaa.


Kitu kizuri zaidi itarushwa moja kwa moja na Azam TV. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV