April 2, 2016


Real Madrid iko Camp Nou katika El Clasico inayosubiriwa kwa hamu kubwa.

Lakini rekodi zinaendelea kumwagika, mojawapo ni Lionel Messi ambaye aliwahi kupambana na Zinedine Zidane, wanakutana tena.


Wakati walikuwa wakikutana wakiwa wachezaji, leo mambo ni tofauti. El Clasico hii Zidane ni kocha wa Real Madrid na atakuwa kocha.


Lakini Messi atakuwa uwanjani akipambana “kuimaliza” timu ya Zidane. Ni raha kwa kuwa wachezaji waliokutana uwanjani, safari hii wanakutana wakiwa na vyeo tofauto lakini bado ni El Clasico.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV