April 5, 2016


Pamoja na mwendesha magari ya langalanga au formular 1, Lewis Hamilton kupoteza kwa kushindwa na Nico Rosberg waliyenaye katika timu ya Mercedes Benz, lakini muonekano wake akiwa katika vazi maridhawa ulikuwa kivutio zaidi.

Hamilton ambaye sasa ni staa zaidi katika mchezo huo wa magari alitupia mtandaoni na kusema: “Hakuna cha zaidi, zaidi ya kusema navutiwa na utamaduni huu.”0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV