Klabu ya Leicester imewakodia wachezaji wake helkopta ili wafunge safari kwenda London katika tuzo ya mwaka ya PFA.
Mshambuliaji Riyad Mahrez aria wa Algeria ndiye ataichukua kwa kuwa nafasi kubwa iko kwake kutokana na alivyofanya vizuri msimu huu. Lakini katika ndege hiyo wamo Jamie Vardy aliyesimamishwa pamoja na N’Golo Kante.
Leicester imelazimika kukodi helkopta baada ya mechi take dhidi ya Swansea ambayo Kante na Mahrez walicheza.
0 COMMENTS:
Post a Comment