April 10, 2016

MASHABIKI WA AHLY

Mechi ya Yanga dhidi ya Al Ahly ina mengi ya kujifunza na moja wapo ni kuhusiana na mashabiki.

Mashabiki wa timu hizo mbili, walishangilia kwa namna tofauti kabisa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wale wa Al Ahly maarufu kama Ultras, pamoja na kuwa wachache walionyesha wana uwezo wa juu wa kushangilia tofauti na wa Yanga.

MASHABIKI WA YANGA

Lakini wale wa Yanga nao walikuwa na staili yao, huenda haikusumbua sana, lakini ilionyesha haifanani na wale wa Ahly.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV