April 29, 2016


Simba imepiga kambi mjini Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili.

Azam FC wenyewe wako Dar es Salaam, wanaendelea na mazoezi kama kawa katika uwanja wao pale Chamazi.

Cheki taswira 10, Azam FC wakiendelea kupambana kuhakikisha wanafanya vema.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic