April 18, 2016


Washindi wa “Kwea Pipa Kwenda Spain na Azam Sports HD”, wameonja raha ya usafiri wa ndege ukiwa mtu maalum.

Washindi Ismail Salim na Jamal Mussa wamesafiri kwa mara ya kwanza nje ya Tanzania na mara ya kwanza barani Ulaya wakiwa ndani ya dege la Swiss wakiwa upande wa VIP, yaani watu maalum.

Usafiri huo wa saa 10 angani kabla ya kutua Zurich, halafu wakaondoka kwenda Madrid ambako leo baadaye wataunganisha kwenda Coruna ambako watashuhudia mechi kati la Derpotivo la Coruna na Barcelona.
1 COMMENTS:

  1. Daaaah kweli wamefaidi maana si mchezo hii VIP kama uko nyumbani.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV