April 18, 2016Washindi wa “Kwea Pipa Kwenda Spain na Azam Sports HD”, wametua jijini Madrid nchini Hispania.Washindi Ismail Salim na Jamal Mussa wanaondoka leo hapa kwenda Coruna ambako watashuhudia mechi kati ya Derpotivo la Coruna watakaokuwa wenyeji wa Barcelona.

Washindi hao watakaa Madrid kwa muda wa saa 5 kabla ya kuondoka kwenda Coruna ambako wataishi huko kwa siku tatu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV