WASHINDI HAO WAKIWA KWENYE CHUMBA CHA VIP KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUMAPILI MUDA MFUPI KABLA YA SAFARI YAO YA SAA 10 KWENDA USWISS HALAFU MADRID NCHINI HISPANIA. |
Washindi wawili wa Promosheni ya “Kwea Pipa Kwenda Spain” ya Azam TV wamendondoka leo jijini Dar es kwenda nchini Hispania.
Washindi wawili, Jamal Mussa na Ismail Salim wameondoka nchini wakiongozana na Ofisa wa Azam Media Ltd, Irada Mtonga.
Wakiwa nchini Hispania watashuhudia wakiwa uwanjani mechi ya La Liga kati ya Derpotivo la Coruna dhidi ya Barcelona.
0 COMMENTS:
Post a Comment