April 5, 2016Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga watakuwa kibaruani Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwavaa Al Ahly kutoka Misri katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha wake, Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ameamua kikosi chake kianzie ufukweni kuufuata mchanga kikiwa kambini Pemba.

Angalia wachezaji hao walivyoanza mazoezi hayo ambayo zaidi yanaongeza stamina na kasi. Kawaida Waarabu wanasifika kwa kuwa na stamina.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV