Kocha wa zamani wa Liverpool, Brendan Rodgers ambaye imekuwa ikielezwa huenda akarejea katika klabu yake ya zamani ya Swansea amekuwa akiendelea na mazoezi lakini safari hii ni yale ya ngumi.
Usifiriki Rodgers anaweza sasa ameamua kuwa bondia, lakini ni sehemu ya kujiweka vizuri kiafya kwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 43.
Rodgers alitimuliwa Liverpool Oktoba, mwaka jana baada ya safe ya bao 1-1 katika derby ya Merseyside dhidi ya wapinzani wakubwa Everton.
REKODI YA RODGER AKIWA KOCHA
Mechi alizoongoza: 160
Kashinda: 75
Sare: 41
Kapoteza: 44
Asilimia za ushindi: 47
0 COMMENTS:
Post a Comment