May 13, 2016Kiungo mshambuliaji Philippe Coutinho ameshinda tena nafasi ya mchezaji bora wa Liverpool.
Coutinho ameshinda tuzo hiyo katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

Raia huyo wa Brazil amekuwa na msimu mzuri na kikosi cha Liverpool.
Kiungo Emre Can naye ameibuka na tuzo ya mchezaji anayechipukia wa Liverpool huku Brad Smith akibeba tuzo ya mchezaji bora kijana aliye katika shule ya klabu hiyo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV