May 11, 2016

 Si vibaya kusema hutu dogo ni mkali. Stephen Curry amefanikiwa kubeba tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA).

Lakini amefanikiwa kuwa MVP wa NBA akiweka rekodi ambayo haikuwahi kufikiwa na magwiji maarufu zaidi katika mchezo huo na NBA kama  Magic Johnson, Michael Jordan na LeBron James.

Curry ambaye ni mlinzi wa timu ya Golden State Warriors, amebeba jura zote 131 kupata ushindi huo, jambo ambalo halikuwahi kutokea hats kwa magwiji hao.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV