May 10, 2016BOBAN


Kocha Mkuu wa Mbeya City, Kinnah Phiri ametangaza kikosi chake kitakachoanza katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga.

Mechi hiyo inapigwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya na kipa Juma Kaseja atakuwa langoni huku kiungo mwingine mkono Ramadhani Chombo 'Redondo' akipewa jukumu na kuongoza kiungo cha uchezeshaji wakati mkongwe mwenzake, Haruna Moshi 'Boban' akiwa benchi.

KIKOSI
1.Juma Kaseja 
2. John Kabanda 
3. Hassan Mwasapili 
4. Tumba Lui 
5. Haruna Shamte 
6. Kenny Ally 
7. Seleman Mangoma 
8. Ramadhan Chombo 'Redondo'
9. Salvatory Nkulula 
10.Geoffrey Mlawa 
11.Joseph Mahundi


AKIBA:
Hanningtony Kalyesubula 
Hamidu Mohamed
John Jerome
Ditram Nchimbi
Yohana Moriss
Raphael Daud 
Haruna Moshi 'Boban'.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV