May 10, 2016 Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari cha Yanga na Msemaji wa klabu hiyo, Yanga Jerry Muro ameongoza uzinduzi wa Yanga la Uswazi.

Katika uzinduzi huo uliofanyika mjini hapa, Muro aliwasisitiza wanachama wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuchukua kadi za uanachama ili kuendelea kuiunga mkono klabu hiyo.


Mgeni rasmi wa uzinduzi wa tawi hilo Chief Chuma, alimkabidhi cha shilingi 200,000 Mwenyekiti  wa tawi hilo David Mwakalinga ikiwa ni sehemu ya kuonyesha kwamba maendeleo yanatakiwa.Yanga ipo mjini Mbeya kwa ajili ya kuwavaa Mbeya City katika mechi ya kugombea ‘heshima’ kwa kuwa tayari Yanga ni mabingwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV