Game bado ngumu, Chelsea wako nyuma kwa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham. Iwapo Chelsea wakishinda, Leicester City anakuwa bingwa wa England.
Mabao hayo mawili yamefungwa na Kane na Son baada ya mabeki wa Chelsea kufanya uzembe mara mbili.
Hata hivyo matumaini ya Leicester kuchukua ubingwa “wakiwa wanakunywa kilaji” yanaonekana kutokuwa na nafasi, kwani Spurs wanaonekana kama wanaweza kuibuka na ushindi wa mabao zaidi ya hayo mawili licha ya kuwa ugenini.
Hii imekuwa ndivyo sivyo,na inaweza kutokea kwenye VPL.
ReplyDelete