Leicester City ndiyo mabingwa wapya wa England.
Leicester City wanapokea kombe hilo kutoka kwa Chelsea ambao msimu huu, wamechemsha.
Lakini Chelsea, ndiyo waliowapa Leicester ubingwa huo baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Tottenham waliokuwa wakiuwania kwa nguvu zote.
Sare hiyo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, unaifanya Spurs kubaki na pointi 70 huku Leicester wakiwa na 77 ambazo hakuna timu inayoweza kuzifikia.
CHELSEA: Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Matic (Oscar 78), Willian, Fabregas, Pedro (Hazard), Costa
Subs not used: Baba, Traore, Kenedy, Amelia, Loftus-Cheek
Booked: Ivanovic, Mikel, Willian
Goals: Cahill 58, Hazard 83
Manager: Guus Hiddink
TOTTENHAM: Lloris, Walker, Alderweireld (Chadli 90), Vertonghen, Rose (Davies 82), Dier, Dembele, Lamela, Eriksen, Son (Mason 65), Kane
Subs not used: Vorm, N'Jie, Wimmer, Carroll
Booked: Walker, Vertonghen, Rose, Dier, Dembele, Mason, Eriksen, Lamela, Kane
Goals: Kane 35, Son 44
Manager: Mauricio Pochettino
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 41,545
0 COMMENTS:
Post a Comment