Kocha Jose Mourinho sasa rasmi ni kocha wa Manchester United baada ya uongozi wa klabu hiyo, kumtangaza.
Makamu Mwenyekiti wa Manchester United, Ed Woodward ametangaza wao kuingia mkataba wa miaka minne na kocha huyo raia wa Ureno.
Mkataba huo utakuwa na gharama ya pauni milioni 45 katika kipindi cha miaka mitatu na tayari inaelezwa ametengewa kitita cha pauni milioni 200 kwa ajili ya usajili na masharti ni kubeba ubingwa wa England.
0 COMMENTS:
Post a Comment