Real Madrid nao wako tayari jijini Milan kwa ajili ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid.
Inatarajia kuwa fainali hasa, fainali kali ya wapinzani wakuu. Kila upande unajiamini lakini hakuna mwenye uhakika wa kubeba kombe hilo linaloshikiliwa na Real Madrid.
WAKIWA NA MWIGIZAJI WA HOLLYWOOD, RICHARD GERE |
0 COMMENTS:
Post a Comment