Waandishi wa habari na wasanii mbalimbali wameungana pamoja kusherekea siku maalum ya DStv ambayo imekuwa ikionyesha filamu za Kitanzania na Afirka kwa ujumla kupitia chaneli zake mbalimbali.
Ilikuwa sherehe fupi iliyojumuisha wafanyakazi wa Mulchoice Tanzania na ilibamba ile mbaya kwenye Hoteli ya kisasa ya New Africa jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment