June 28, 2016


Tahadhari kwa mashabiki wanaojaribu kufanya vurugu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kutaka kuingia kuona mechi kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe.

Kwa kuwa watu wameishajaa, hakuna sababu ya kulazimisha. Badala yake watu wanaweza kurejea majumbani kwao kwenda kuangalia mechi hiyo Live kupitia Super Sport 9 East.

Super Sport 9 East wataonyesha mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho, moja kwa moja na kila anayetaka kuangalia atafaudu anavyotaka.


Kwa kuwa wewe ulichelewa kuiwahi hiyo ofa ya bure iliyotolewa na uongozi wa Yanga, tafadhari rejea nyumbani au sehemu ambako mpira unaonyeshwa. Kufanya vurugu, haitakuwa jambo sahihi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV