June 14, 2016


LeBron James amezidi kuonyesha ni mchezaji wa mpira wa kikapu anayezeeka na ufundi wake mkononi baada ya kuisaidia timu yake ya Cleveland Cavaliers kuibuka na ushindi wa pointi 112-97  dhidi ya Golden State Warriors, usiku wa kuamkia leo.

Ushindi huo unafanya matokeo ya mechi za fainali za NBA some hivi; 3-2, hivyo kuendeleza ushindani mkali zaidi.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV