June 11, 2016


Muhammad Ali, amezikwa katika mji aliozaliwa wa Louisville nchini Marekani.

Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton aliwaongoza nyota kibao wakiwemo Mike Tyson, Will Smith, David Beckham na wengine wamejitokeza katika mazishi hayo.

Watu wengi walijipanga barabarani kumuaga nyota huyo wa masumbwi aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74.

Ali anaaminika ndiye bondia mkali na mwenye uwezo wa juu zaidi kuliko wengine waliowahi kutokea.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV