June 11, 2016


Tayari kiungo Thabani Kamusoko ameanza mazoezi na wenzake chini ya Kocha Mkuu, Hans van der Pluijm.

Yanga imeanza maandalizi mapema kwa kuwa inakabiriwa na michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.


Kamusoko alikuwa kwao Zimbabwe mapumzikoni, aliwasili akionekana akiwa ni mwenye furaha kuu na alitumia takribani dakika tatu kuzungumza na kubadilisha mawazo na kocha wake, Pluijm na wote walionekana ni wenye furaha kuonana.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV