June 11, 2016


Muhammad Ali, amezikwa katika mji aliozaliwa wa Louisville nchini Marekani na nyota unaowaona pichani ndiyo waliokuwa wa mwisho kumuaga kwa kulishika na kulibeba jeneza lake wakati likiingizwa kwenye gari.


Walikuwepo Mike Tyson, Will Smith na wengine kama unavyoona majina yao na ndiyo waliopata bahati hiyo ya kuwa wa mwisho kumuaga gwiji huyo wa masumbwi duniani kote.

1 COMMENTS:

  1. Hii kiboko mtaa kwa Mtaa na hao IS kimyaaa wale kwa kuvizia Kama Wachawi hadi mtu alale

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV