June 8, 2016


James Rodriguez ameibuka shujaa wa Colombia baada ya kufunga bao la pili lililoiwezesha timu yake ya taifa kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Paraguay katika michuano ya Copa America na kutinga robo fainali.

James ambaye anakipiga Real Madrid ya Hispania ndiye nahodha mpya kinda wa kikosi hicho cha Colombia.

Colombia: Ospina, Arias, Zapata (Mina 90), Murillo, Diaz, Perez (Celis 58), Torres, Cuadrado, Rodriguez, Cardona (Moreno 87), Bacca
Subs not used: Robinson Zapata, Sanchez, Martinez, Aguilar, Medina, Dayro Moreno, Fabra, Roa, Bonilla
Goals: Bacca 12, Rodriguez 30
Booked: Murillo 
Paraguay: Villar, Valdez, Gomez, Da Silva, Samudio, Almiron, Piris Da Motta (Ayala 46), Ortiz, Romero, Lezcano (Sanabria 67), Edgar Benitez (Jorge Benitez 46)
Subs not used: Silva, Balbuena, Piris, Rodrigo Rojas, Gonzalez, Riveros, Iturbe, Haedo Valdez, Barreto
Goals: Ayala 71
Booked: Lezcano 
Sent off: Romero 

Referee: Heber Roberto Lopes (Brazil)0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV