June 18, 2016


Mabao mengi mazuri na muhimu katika michuano ya Euro 2016 ambayo ndiyo ipo katika hatua ya makundi, yalifungwa katika dakika za mwishoni kabisa.

Takwimu zinaonyesha mabao hayo, mengi yalifungwa katika dakika kuanzia 80 na yalikuwa muhimu kwa timu husika kuamsha uhai wa kuendelea na mashindano au kufuzu kucheza hatua ya 16 Bora. Angalia mwenyewe...

Dk 80 – Glushakov, aliifungia Russia vs Slovakia
Dk 81 – Robson-Kanu aliifungia  Wales vs Slovakia
Dk 87 – Stieber , aliifungia Hungary vs Austria
Dk 87 – Pique, aliifungia Spain vs Czech Republic
Dk 88 – Eder, aliifungia Italy vs Sweden
Dk 89 – Payet, aliifungia France vs Romania
Dk 90 – Griezmann, aliifungia France vs Albania
Dk 90+1 – Sturridge, aliifungia England vs Wales
Dk 90+2 – Berezutski, aliifungia Russia vs England
Dk 90+2 – Schweinsteiger, aliifungia Germany vs Ukraine
Dk 90+2 – Pelle, aliifungia Italy vs Belgium
Dk 90+6 – Payet, aliifungia France vs Albania

Dk 90+6 – McGinn, aliifungia Northern Ireland vs Ukraine

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV