June 22, 2016


Bondia, Sunday Elias wa timu ya Band Coy ya jijini Dar es Salaam (mwenye jezi nyekundu) akishindwa kulikwepa konde la Ramadhan Hamis wa Kigamboni katika pambano la raundi tatu la michuano ya na masumbwi ya Meya wa Dar, Issaya Mwita iliyoanza kutimua vumbi leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa.


Michuano hiyo ambayo itadumu kwa siku tano inashirikisha timu mbalimbali za hapa nchini, Kenya pamoja na Nigeria.


Meya wa Jiji la Dar, Issaya Mwita akisalimiana na moja wa mabandia wanaoshiriki michuano hiyo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV