June 7, 2016


Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Neymar dos Santos ameendelea kula bata nchini Marekani.

Lakini sasa amekuwa akionyesha jeuri ya fedha baada ya kuishi katika jumba la kifaharai ambalo analazimika kulipa pauni 7,000 (zaidi ya Sh million 21) kwa siku.

Jumba hilo, lina kila kitu ndani, uwanja mkubwa pamoja na bwawa la kisasa la kuogelea. Lakini ndani kuna ukumbi wa sinema.

Kocha wa Brazil, Dunga alikubali kumpumzisha Neymar asicheze michuano ya Copa America inayoendelea ili ashiriki vizuri Michezo ya Olimpiki inayofanyika nchini Brazil wakati wa kipindi cha majira ya joto.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV