Unaweza kusema wamekutana tena! Kocha Brendan Rodgers na mshambuliaji Luis Suarez ambao walifanya kazi pamoja Liverpool tena kwa mafanikio makubwa.
Rodgers sasa ni Kocha wa Celtic ya Scotland na Suarez anakipiga Barcelona.
Walikutana jana katika mechi ya kirafiki na Barcelona ikashinda kwa mabao 3-1, lakini hiyo haikuwazuia wao kukutana na kusalimiana.
0 COMMENTS:
Post a Comment