July 27, 2016


Kocha Pep Guardiola wa Man City amemtupia lawama muandaaji wa michuano ya International Cup iliyopangwa Beijing China na kusema, hakuangalia afya za wachezaji.

Guardiola amesema, isingewezekana hata kidogo wao kuivaa Man United katika uwanja ule.

Mechi kati ya Man United dhidi ya Man City iliahirishwa baada ya hali ya hewa kuwa chanzo cha kuharibika kwa uwanja.


Kama ingechezwa ingekuwa mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo nje ya jiji la Manchester United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic