July 26, 2016


Kocha Mkuu wa Inter Club ya Angola, Zdravko Logarusic amesema anatamani sana siku moja akutane na timu yake ya zamani ya simu.

Logarusic maarufu kama Loga, amesema bado amekuwa akikumbuka alivyoendelewa Simba katika hali iliyoashiriwa chuki lakini alisamehe.

“Nilishasamehe kwa maana ya nilivyoondoka, lakini bado nitafanya kuwaonyesha siku tukikutana.


“Moja ya furaha yangu itakuwa ni kuwafunga Simba ili wajue walimuacha kocha hasa,” alisema Logarusic ambaye ameanza kusumbua kwa kiwango Angola.

Simba sasa inanolewa na Kocha Mcameroon, Joseph Omog na imejichimbia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV