LEICESTER WAENDELEA 'KUPITIA' MAFUTA MAREKANI KUHAKIKISHA WANATETEA UBINGWA WAO Mabingwa wa England, Leicester City wameendelea kujifua vilivyo jijini California nchini Marekani. Leicester wamekuwa wakifanya mazoezi uwanjani na yale ya gym, kuhakikisha wanakuwa fiti kwa ajili ya kutetea ubingwa wao.
0 COMMENTS:
Post a Comment