July 21, 2016


Bayern Munich imeichapa Man City kwa bao 1-0 katika mechi safi ya kirafiki iliyochezwa Allianz Arena jijini Munich, Ujerumani.

Guardiola alikaribishwa kwa furaha na mashabiki wa Bayern ambao wanakumbuka alikuwa kipenzi chao siku chache zilizopita.

Kwa sasa Bayern inanolewa na kocha mkongwe, Carlo Ancelotti.


KIKOSI ALICHOPANGA GUARDIOLA KIPINDI CHA KWANZA:
Caballero, Maffeo, Adarabioyo, Kolarov, Angelino, Fernando, Fernandinho, Zinchenko, Barker, Iheanacho, Navas
…ALICHOCHAPANGA KIPINDI CHA PILI: Gunn, Maffeo, Adarabioyo, Kolarov, Angelino, Clichy, Fernando, Fernandinho, Delph, Bony, Navas
Bayern Munich (4-3-3): Ulreich; Rafinha, Feldhahn, Martinez (Friedl 66mins), Bernat (Gotze 66); Lahm, Alonso (Dorsch 46), Alaba (Ozturk 46); Green, Benko (Shabani 83), Ribery (Hagler 46).
Unused subs: Starke, Tarnat, Hausler, Pohl.
Goal: Ozturk 76. 
Manager: Carlo Ancelotti. 


Manchester City (4-2-3-1): Caballero (Gunn 46); Maffeo, Adarabioyo, Kolarov (Bytyqi 66), Angelino; Fernando (Toure 55), Fernandinho (A.Garcia 73); Navas (Celina 55), Zinchenko (Delph 46), Barker (Clichy 46); Iheanacho (Bony 46).
Unused subs: Kompany, Nasri, Zuculini, Horsfield, O'Brien, M.Garcia, Humphreys.
Booked: Fernandinho.
Manager: Pep Guardiola.
Referee: Gunter Perl. 


















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic