July 21, 2016


Chelsea chini ya Kocha Antonio Conte imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wolfsberger AC ya nchini Austria.

Chelsea iko katika maandalizi ya msimu mpya chini ya kocha huyo raia wa Italia na huo ukiwa ni ushindi wake wa kwanza katika harakati zake za kutengeneza kikosi kipya kwa ajili ya msimu wa 2015-16.

Chelsea (4-2-4): Begovic, Aina, Djilobodji (Hector 58), Terry (Miazga 89), Ivanovic (Baba Rahman 46); Matic (Mikel 85), Oscar (Chalobah 74); Moses (Kenedy 89), Costa (Batshuayi 58), Traore (Loftus-Cheek 58), Willian (Atsu 83)
BENCHI: Blackman, Delac, Cuevas, Remy

MABAO: Traore 41 Loftus-Cheek 83 Chalobah 90' 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV