July 2, 2016


Hadi mapumziko, kikosi cha Serengeti Boys kinachowavaa Shelisheli kilikuwa kinaongoza kwa mabao 2-0 katika mechi inayochezwa mjini Victoria, Shelisheli.


Serengeti tayari ilishaitandika Shelisheli kwa mabao 3-0 katika mechi ya kwanza kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17.

Mabao ya Serengeti yamefungwa na Asad Ali katika dakika ta 9 tu na Mohammed Abdallah aliyeachia mkwaju wa nguvu katika dakika ya 43.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV