July 2, 2016Mwanariadha nyota wa Jamaica, Usain Bolt ameumia nyama za paja.

Bolt ambaye ni bingwa wa dunia wa michuano kibao, ameumia wakati wa maandalizi ya Michezo ya Olimpiki.

Hofu kwa kikosi cha Jamaica kama Bolt atakuwa fiti kwa ajili ya michezo hiyo itakayofanyika nchini Brazil.

Hata hivyo, haraka matibabu yameanza kuhakikisha Bolt anarejea katika hali yake.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV