Mkutano wa wanachama wa klabu kongwe ya Simba, umefanyika leo kwenye Ukumbi wa Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo umejadili mambo kadhaa likiwemo suala la mchakato wa mabadiliko kutoka klabu kawaida kwenda kuwa kampuni. Angalia mambo yalivyokuwa katika picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment