Kocha Hans van der Pluijm amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.
Pluijm amekuwa na mafanikio makubwa na Yanga ndani ya misimu miwili baada ya kuchukua ubingwa wa Tanzania Bara misimu yote hiyo.
Raia huyo wa Uholanzi, alichukuwa ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014-15 akiwa na mechi mbili mkononi, msimu wa 2015-16, akabeba akiwa na mechi tatu mkononi.
Msimu wa 2015-16 ulikuwa mzuri zaidi kwake kwani pamoja na kuanza kutwaa Ngamo ya Hisani, aliiwezesha Yanga kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Tanzania na kuiwezesha kufika hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho la Afrika.

0 COMMENTS:
Post a Comment