August 7, 2016
Viongozi mbalimbali wa klabu ya Simba wakiongozwa na Rais wao, Evans Aveva wamefika katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja wao.


Ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa Simba unaendelea katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, Aveva aliwaongoza baadhi ya viongozi na wanachama kufanya ukaguzi huo, leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV