BARUA KUTOKA UONGOZI WA SIMBA KWENDA KWA MO DEWJI. |
Sasa inaonekana mambo yanaanza kwenda vizuri na muunganiko wa umoja kati ya uongozi wa klabu ya Simba na Bilionea, Mohammed Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa Simba, unaanza kukolea.
Hii ni baada ya leo, uongozi wa Simba kumkaribisha kwenye kikao cha kamati ya utendaji lakini baadaye umeandika barua pia kuomba fedha kwa ajili ya usajili.
Ombi hilo ni sehemu ya kumkumbusha Mo kutokana na ahadi yake kuwa yuko tayari kuchangia usajili.
Tayari Mo ametangaza nia yake ya kununua hisa asilimia 50 za klabu ya Simba kwa kutoa Sh bilioni 20.
kuna matumaini kuwa simba wanaweza kukubali mabadiliko,wanasimba tiwe na utulivu kwani mabadiliko ya kubadilisha mfumo ni swala la mchakato,mungu i9bariki simba,mungu ibarikitanzania.
ReplyDeletekuna matumaini kuwa simba wanaweza kukubali mabadiliko,wanasimba tiwe na utulivu kwani mabadiliko ya kubadilisha mfumo ni swala la mchakato,mungu i9bariki simba,mungu ibarikitanzania.
ReplyDeleteuongozi wa klabu ya simba uzingatie maslahi ya klabu na washabiki wao na sio maslahi yao binafsi tu.tunafahamu kuwa wamefanya makubwa lakini ifkie wakatiwa kufikiria makubwa zaidi.
ReplyDeleteuongozi wa klabu ya simba uzingatie maslahi ya klabu na washabiki wao na sio maslahi yao binafsi tu.tunafahamu kuwa wamefanya makubwa lakini ifkie wakatiwa kufikiria makubwa zaidi.
ReplyDelete