Kocha Jose Mourinho wa Manchester United, ameendelea na maandalizi ya msimu mpya ndani na nje ya uwanja.
Wakati Mourinho ametupia picha akiwa ofisini, tafsiri ya mashabiki wengi kwamba ofisi hiyo ya Mourinho ni ‘ofisi’ ya zamani ya aliyekuwa mmoja wa wapinzani wake wakubwa, Sir Alex Ferguson ambaye ni kocha mwenye mafanikio makubwa zaidi akiwa na Man United.
0 COMMENTS:
Post a Comment